Friday, July 24, 2009

STAILI MPYA!!!!

Huyu ni mwana dada Rihana akiwa katika staili mpya ya nywele. Hapa alikuwa akihudhuria uzinduzi wa filamu mpya ya QUENTIN TARANTINO mjini London Alhamis usiku...mnaopenda kuiga fasheni kazi kwenu..!!!

No comments: