Monday, May 3, 2010

SMILING FACES YATOA TUNZO KWA VIJANA!


Find more photos like this on Global Publishers
Kampuni ya Smiling Faces ya jijini Dar es salaam imetunukia vijana wa Kitanzania wa fani mbalimbali kwa kazi wanazozifanya kwa kuwapa tunzo. Tunzo hizo zinajulikana kwa jina la RED CARPETS AWARDS. Hafla hiyo ilifanyika usiku wa kuamkia leo pale Regency Park Hotel.

No comments: