Sunday, October 3, 2010

GPL WALIVYOJIACHIA KIGAMBONI WIKIENDI

Jumamosi ilikuwa siku ya timu nzima ya GPL 'ku delete' 'ma folder' ya zamani kwa ajili ya 'ma folder' mapya kwa kufunga kijisafari cha kwenda pande za Kigamboni kujiachia
...pande za Kigamboni.
...na wengine kupata vya baridi kwanza

main sponsor wa blog yenu..Tippo Athuman, tulikuwa nae kama mdau namba moja wa GPL

...Pendo akivuta kasi kwanza kwa kunywa fanta

...wengine ni kuyavaa maji moja kwa moja

...wengine shurti kukumbatiana...Robi kwa utundu nae.....unamuuliza Sifael kama nae ana 'kitu' tumboni!!!

....mwana dada ukiwa karibu na 'mwili mkubwa' ni amani tu!!

baada ya kunywa, ni kula
...kila mtu ajisevie saizi yake

...kunesanesa kiutu uzima ndiyo kwenyewe!
...mzuka ukishapanda hakuna wa kuushusha!

...baada ya kula na kunywa, sebene ndiyo mpango mzima!

No comments: