Sunday, October 3, 2010

Wimbo Mpya Wa Ditto Zamani dogo ditto

Ni Wimbo Wangu Wa Pili Kuimba Peke Yangu Yaani Bila Kumshirikisha Mtu mwingine......Wa Kwanza Ulikuwa Unaitwa Wivu Haukufanya Vizuri.....Niliutoa Mwaka Jana Baada Ya Hapo Nikaaamua Kuboresha aina ya Muziki Wangu...Mimi Ndiye Yule Dogo Ditto Niliye Shirikishwa Na Afande Selle Katika Wimbo Wa Darubini kali,Usinichukie,Dunia Ina Mambo Na Nyingine Nyingi...Pia Dar-es-Salaam Stand up Ya Chidi beenz Na Muda Umefika Ya Chiku Ketto.....
Phone Number +255 713 556 303 Asanteni


Verse 1 Siwezi Kuishi Bila Upendo wako Ulivyoniteka

Naomba Nihifadhi Kwa Mikono Yako Nisije anguka

Nimezunguka Kutwa Nzima Kama wewe sijamuona

Napigwa Vita Chungu Nzima Lakini Bado Napigana

Chorus Wapo walotaka Nikuache Nakusema Sitofika Popote

Ndipo Wakanifanya Niongeze Juhudi Nyingi mpaka siku Niwe wako

Sijali Umenitesa Mara ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi

Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe wote Pamoja x2

Verse 2 Sijasahau Usiku Wa Manane ule Ulivyo Nikana

Mbele Ya Nduguzo Na Bwanaako Yule Ukanitukana

Kwa Mapenzi Nilisimama Kama Chizi Nilionekana

Leo Wakusema Hakuna Najua Waamini Nakupenda

Chorus Wapo walotaka Nikuache Nakusema Sitofika Popote

Ndipo Wakanifanya Niongeze Juhudi Nyingi mpaka siku Niwe wako

Sijali Umenitesa Mara ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi

Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe wote Pamoja x2

Bridge Penzi Letu Liende mbele lisifike Mwisho oooooo

Tuwe Wote Milele Tushinde Vikwazo oooooo

Wapooooo Ooo oooo oo Wapooooooooooo

Wapoooooooo Wapooooooooooooooo

Hook Sijali Umenitesa Mara Ngapi Ama Nimelia Mara Ngapi

Nia Yangu Ni Moja Siku Moja Tuwe Pamoja Haaaaaa x2

Mwandish Wa Huu Wimbo Ni Dotto Bernad Bwakeya(Ditto) Phone Number +255 713 556303

No comments: