Lile song lililojipatia umaarufu katika kila kona "Rushwa ni Adui wa Haki" kutoka kwao Ngoma Africa Band aka FFU yenye maskani yake Ujerumani,sasa limetua na kusikika katika kambi ya FFU www.ngoma-africa.com .song hilo lenye ujumbe muhim kwa jamii ni utunzi wake kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja, wa FFU ughaibuni. Pia kikosi cha Ngoma Africa band kitumbuiza jukwaani jumamosi 25.06.2011 mjini Heidelberg, na Jumapili 26.06.2011 mjini Freudenstadt,huko Ujerumani.
wasikilize FFU at www.ngoma-africa.com
wasikilize FFU at www.ngoma-africa.com
No comments:
Post a Comment