Tunapenda kuwajulisha Wadau wa Mitandao ya Kijamii (Blog/Website) nchini na nje ya nchi, Blog mpya itwayo IT PROFESSIONAL ipo hewani kwa sasa na wale wote wanaotafuta kazi katika fani ya "INFORMATION TECHNOLOGY" na “COMPUTER TECHNOLOGIES” basi mnakaribishwa sana na pia unaweza kutuma CV zako wewe unayetafuta kazi za IT na sisi tukaziweka hewani na ikawa rahisi kwa wewe kupata kazi kulingana ujuzi wako na Elimu yako. Pia Tovuti hii itafikisha CV zako kwa Waajiri popote walipo.
KARIBUNI SANA.
· For more details on IT PROFESSIONAL just click on BOFYA HAPA below!
No comments:
Post a Comment