Tuesday, July 5, 2011

AY ATANUA KIMATAIFA ZAIDI, ATENGENEZA VIDEO MAREKANI






Mkali wa Hip Hop Bongo mwenye mtizamo wa kimataifa zaidi, AY, hivi sasa yuko Hollywood nchini Marekani akirekodi video ya wimbo wake mpya wa Speak With Your Body ambao amemshirikisha mkali muziki kutoka Marekani, dogo Romea na mwanadada La’Myia nae kutoka pande hizo. Pichani ni baadhi ya vipande vya video hiyo wakati wa shooting.

Song Profile:
LOCATION: HOLLYWOOD CALIFORNIA
DIRECTOR: WILLIAM TIKKI & SHAI KEDEM
AUDIO PRODUCED BY: RILEY
GUESTS: NO LIMIT SOLDIERS,ACTRESS MEAGAN GOOD & ACTOR SAM JONES III

No comments: