Monday, July 4, 2011

FIESTA 2011 SHINYANGA HAINA MAJOTROO!!

Kichaa mahiri katika miondoko ya Hip hop Bongo, Farid Kubanda a.k.a Fid Q akikamua jukwaani  kwenye tamasha la Serengeti fiesta 2011 mjini Shinyanga jana.Tamasha la Serengeti Fiesta linaandaliwa na kampuni bingwa ya burudani hapa nchini ya Prime Time Promotions Ltd ikishirikiana na Clouds Media Group, mdhamini mkubwa wa tamasha hilo ikiwa  kampuni ya bia ya Serengeti Breweries Ltd kupitia kinywaji chake maridhawa, Serengeti Primeum Lager.



Aahhhhhh mbona kwa sana tuu....kitu cha Golden moment kipo hapa.


Mkali mwingine wa hip hop Bongo akitokea jijini Arusha, JCB akiwaangushia madini wakazi wa Shinyanga.

...chukua tano mwana!!
Shinyanga nayo aaaahhhh....haina majotro kabisaa!!
Mheshimiwa Themba akicheza na shabiki ambaye aliomba apande jukwaani nae ajiachie pamoja na ulemavu wake.

Kutoka Kiumeni,Wasanii mahiri wa bongo fleva Chege na Themba wakiwaimbisha wakazi wa Shinyanga kwa namna ya kipekee, ilikuwa ni full kushangweka bila Majotro!

Msanii wa kizazi kipya anaekuja juu kwa sasa, Ben Paul, akiimba kwa hisia jukwaani mbele ya mashabiki wa tamasha hilo.
Mzee wa Robo saa a.k.a Amin kutoka THT akitumbuiza jukwaani.




Msanii mahiri wa kizazi kizazi kipya, Mwasiti akiimba pamoja na shabiki wake jukwaani.
Msanii Linex akiwajibika jukwaani














 Mmoja wa watangazaji mahiri wa Clouds FM/TV, (pichani kulia) Wasiwasi Mwambulambo akiwa na fundi mitambo, Dj Haroun wa Prime Time Promotions Ltd ndani ya Uwanja wa Kambarage tayari kwa kulianzisha tamasha la Serengeti Fiesta 2011.

No comments: