Saturday, August 6, 2011

THE BEAUTIFUL WEDDING OF EDWARD & PRISCILLA...!!!

 Ally Muhdin kaika picha ya pamoja na maharusi
 Priscilla akisaini cheti chake
 Edward akiwa katika pose na mama yake
 Jestina (shoto) akiwa katika pose na maharusi
Bibi harusi katika picha ya pamoja na mama mkwe wake
Edward akimvisha Pete mkewe Prscilla
Edward akisaini cheti huku mkewe akiangalia kwa makini
Maharusi katika picha ya pamoja na marafiki zao

Kwa picha zaidi ya  wadau wanakarabishwa kutembela
Edward and Priscilla's Wedding 1
Edward and Priscilla's Wedding 2

Asanteni sana kwa ushirikiano wenu na Mungu awabariki sana. Kwa mlio fungua Ramadan njema.
Regards
Jestina George
Be Cheerful! GOD loves you more than you'll ever know!

No comments: