Sunday, September 18, 2011

MOTO WATEKETEZA SOKO DOGO LA FOREST MAGHOLOFANI JIJINI MBEYA USIKU WA KUAMKIA LEO




Picha zinaonesha jinsi moto ulivyoteketeza soko hilo lililopo Forest ya Zamani karibu na Chuo cha Mzumbe na Chuo Kikuu huria Jijini Mbeya usiku wa kuamkia leo ikiwa ni siku moja tu  baada ya soko la Kuu la Mwanjelwa kuteketea. Moto ulianza majira ya saa 9:00 kamili usiku na Zimamoto walifika saa 9:10 na kufanikiwa kudhibiti moto huo ambao umeteketeza vibada kadhaa na kusababisha hasara kubwa.
PICHA NA STORI: Latest News.

No comments: