Mtalii alimuuliza kijana mwenye boti "do you know biology, psychology, geography, geology and criminology?" Kijana akasema NO... Mtalii akamwambia "what the hell do u know on the face of this earth? u will die of illeteracy." Baada ya muda boti ikaanza kuzama, kijana akamuuliza mtalii, "Do you know Swimology and Escapology from Crocodilogy?" Mtalii akajibu NO...Kijana akamwambia..."Well, u will Drownology and Crocodilogy will eat your Assology and u will Dieology because of ur BADMOUTHOLOGY...!!"
by Jestina George..
1 comment:
sorry but 2mi not interesting at all!
Post a Comment