Monday, November 14, 2011

MABONDIA WAPIMA AFYA ZAO

Daktar wa Mchezo wa ngumi, Josefu Magesa akiwapima mabondia watakaoshiriki mashindano ya kova Cup yaliyoanza Dar es salaam leo katika ukumbi wa PR hotel zamani IMASCO CENTER mashindano hayo ya siku mbili yanamalizika jumanne ya 15/11/2011.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

No comments: