Monday, November 28, 2011

TUNDU LISSU ALIPOKUTANA NA JK IKULU

Mhe. Rais Jakaya Kikwete akiagana kwa kupena na mikono na Mhe. Tindu Lissu wa Chadema mara baada ya kuwasilisha maombi yao Ikulu jana.
Mhe.Lissu akijisevia chai mara baada ya kukutana na Mhe. Rais

1 comment:

Jigambe Team said...

mambo kama yanakuwa hvyo cku zote maisha yangekuwa marahisi kabisa kuona wapinzani wako kiti kimoja bt ingekuwa vzr kama ungeisajili hii blog yako tanzaniakwetu.com or jigambeads.com for advertisement!