Thursday, December 1, 2011

TWANGA KUKAMUA MILTON KEYNES WIKI HII

 Frank na Chalz Baba baada ya kukagua ukumbi
Maria na Baby Tall ndani ya mji wa Milton Keynes
Ndani Ya Golden Lounge
wadau wa Milton wakiwa na Twanga
Ikiwa imebakia siku moja tu kabla ya show ya Milton Keynes Chalz Baba, Baby Tall na Maria walipata fursa ya kutembelea mji wa milton keynes kutembea na kusalimia wadau wa Milton. Twanga Pepeta wanapenda kutoa shukrani zao za dhati kwa wadau wa Milton walioweza kuja kuwasalimia na kuwapa kampani ya nguvu ikiwepo vinywaji na Nyama Choma Bila kumsahau Diego, Shelukindo, Rob,Fadhil Dadia na Ima.

Twanga wataangusha show kali ya Pili katika Ukumbi wa Golden Lounge Milton Keynes Tarehe 2 Desemba anuani ni Unit 35, Barton Road, Bletchley. Milton Keynes MK2 3LH.

Show hii Imeandaliwa na Urban Pulse Creative na Miss Jestina Blog.

No comments: