Meneja Udhamini na Matukio wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa akiongea na waandishi wa habari hapo pichani wakati wa kumkabidhi rasmi Vodacom Miss Tanzania Salha Israel gari aina ya Jeep Patriot yenye thamani ya shilingi 72 Milioni,kulia Meneja Masoko wa CFAO Alfred Minja ambao ni wadhamini wenza.
Vodacom Miss Tanzania Salha Isarel akipokea funguo ya gari aina ya Jeep Patriot kutoka kwa Meneja Matukio na Udhamini wa kampuni ya Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa kama ishara ya makabidhinao ya zawadi ya ushindi kwa kutwaa taji la Vodacom Miss Tanzania 2011 katika shindano lililofanyika Septemba.Kulia ni Mkurugenzi wa Lino Agency waratibu wa shindano hilo la Vodacom Miss Tanzania Bw. Hashim Lundenga na mwengine anaeshuhudia ni Meneja Masoko wa CFAO wadhamini wenza wa shindano Bw. Alfred Minja. Gari hiyo ina thamani ya shilingi 72 Milioni.
...asanteni sana Vodacom
Vodacom Miss Tanzania Salha Isarel akiondoka na gari lake aina ya Jeep Patriot baada ya kukabidhiwa
1 comment:
Mkurugenzi mpya wa voda kapiga chini hili shindano, walikuwa wanatumia bilioni 1.1 kasema atazitumia kwenye matangazo za zawadi kwa wateja
Post a Comment