Mwanamuziki wa kizazi kimpya ndani ya Washington DC, AJ Ubao wa kwanza (kushoto) pamoja mzee wa kuwachanganya Dmk global Dickson Mkama. wa kwanza(kulia) wakiwa nyumba ya jukwaa na mwanamuzingi aliekuwa anasubiriwa kwa hamu Jumatano Nov 23, 2011 katika sherehe za Thanksgiving, Muimbaji, Jose Chameleone.
Nyuma ya jukwa mwana dada Luren akipata flash ya pikee kabla ya unyesho kuanzaa
Muimbaji Ana Lov akipata flash ya pamoja na rafiki yake kwenye onesho hilo la Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone.
Cheif wa swahilivilla Abou Shatry akipata picha ya pamoja na kundi zima la muimbaji kutoka Uganda Jose Chameleone.
Aj Ubao alikuwa ni mumbaji wa pili kuimba katika onyesho hilo waliosherikiana na mwanamuziki wa kutoka Uganda Jose Chameleone, wakiwa nyuma ya jukwa akipata flash ya pamoja na mdhamin wake wapendo
Wapenzi wa tazamaji wakisubiri kwa hamu onyesho hilo kuazarasmi ndani ya ukumbi wa Rendezvous mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland U.S
Mwana muziki wa kizazi kimpya kwa muziki wa R&B ndani ya Washington DC, AJ Ubao akiwarusha vibaya sana wapenzi wa muziki wa nyumbani wanaoishi hapa DMV Jana jumatano Nov 23, 2011 Nchini Marekani.
![]()
Wapenzi wa muziki wakinyumbani wakiwa wanamshangaa Msanii wa hapa Washington DC, AJ Ubao
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone akifanya vituz vyake ndani ya Rendezvous Hall mitaa ya Parklawn Dr, Rockville Maryland U.S
Mamia ya watu jana walifurika kuja kumuangali Msanii kutoka Nchini Uganda kwa jina maarufu la Jose Chameleone, ana nyimba zake, ikiwemo mama roda, Jamalila analia, na nyingi nyenginezo.
Mamia ya warembo waliohudhuria kwenye Show hiyo ya Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone
Warembo mikono juu wakiwa wamevudiwa na uwimbaji wa mwanamuziki huyo ndani ya ukumbi uliofurika warembo wa Kiafrica.
Juu na chini full warembo wakipata hisia za muziki wa muimbaji maarefu kutoka nchini Uganda Jose Chameleone.
![]()
Sauti ya muimbaji Jose Chameleone inayofurahisha warembo wamuziki wa kinyumbani
Kama kawaida yake akiwa na kundizima ndani ya Washington DC Jana Jumatano Nov 23,2011
Wakati mwengine warembo hupandwa na jazbaba wale wanaposhindwa kujizuwia na kuomba mic ili kuchombeza wimbo uliokuwa unaimbwa hewani wa kipepo
![]()
Mambo ya jana hayo cheza ni kucheze ndani ya Rendezvous Hall
Mapozi na wewe: mrembo akipata picha kutoka kwa mpiga picha wetu
Hivyo ndiovyo ilivyoo hakuna fitina
Cheza nikucheze juu na chini warembo wa Kiganda ndani ya Nyumba
Mrembo aleehudhuria ndani ya unyesho hilo kabambe la Muimbaji Kutoka Nchini Uganda Jose Chameleone
Kwakweli ilikuwa sho ya aina yake wapenzi wengi ambao ni Waganda aliofurika na kumuunga mkono jamaa yao
Mwana mitindo wa Uganda jina lake hatujaweza kulipata vyema lakini ni Mwanamitindo wa Uganda!
Cheza ni kuche hiyo huku warembo wakipata flashi ya pamoja kwenye show hiyo ya Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone Alivyo warusha Wakaazi wa DMV Nov 23, 2011 kwenye siku kuu ya Thanksgiving Nchini Marekani. Picha zote na http://swahilivilla.blogspot.com/
Saturday, November 26, 2011
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone Awarusha Wakaazi wa DMV
Friday, November 25, 2011
Twanga Pepeta Wakamata Pipa
Bendi ya Twanga Pepeta wakijiandaa kuingia kwenye Pipa
Kutoka Kulia Amigolous akiwapa Mikoba Jojoo, Jumanne, Baby Tall na Luiza
kutoka kushoto Shalapova, Charles Baba na Shakashia.
Twanga Pepeta ''KISIMA CHA BURUDANI'' wameondoka leo asubuhi kutoka uwanja wa kimataifa wa Julius Nyerere kuelekea kuvinjari katika Jiji la London ili kusugua kisigino na wapenzi wao walioko nchini Uingereza na nchi jirani ikiwa ni katika kusherehekea maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania. Kundi hilo lililokamilika katika safu zake za waimbaji, wapiga vyombo na wacheza show linatarajiwa kuwasha moto wa burudani yao siku ya Jumamosi, tarehe 26 Novemba 2011 katika Ukumbi wa Club 2000 Savoir Banqueting Suite, Popin Building Southway, Wembley HA9 0HB kuanzia saa Tatu Kamili Usiku mpaka alfajiri (9pm til late).
Mheshimiwa Balozi Peter Kalaghe atakuwa mgeni rasmi. CD za album mpya na za zamani zitauzwa na vinywaji pamoja na vyakula vya kitanzania vitakuwepo vya kumwaga. Viingilio vitakuwa £20 (singles) na £35 (couples) kabla ya saa sita (mid night) na £25 (singles) na £40 (couples) baada ya saa sita usiku.
Njoo tujumuike, njoo usugue kisigino, njoo usherehekee uhuru wa nchi yako, njoo ule na kunywa kitanzania. Burudani ni watu na watu ni pamoja na wewe. Tanzania itajengwa na watu wenye moyo kama wewe. Karibuni sana.
Shughuli hii imeandaliwa na Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss Jestina Blog, chini ya maelekezo thabiti ya Ubalozi wa Tanzania, London.
Tumethubutu, Tumeweza na Tunaendelea Mbele

Thursday, November 24, 2011
MKURUGENZI WA VODACOM TANZANIA AONGEA NA JUKWAA LA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI TANZANIA
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda
akimtambulisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza
kushoto, kwa wahariri wakuu wa vyombo vya habari nchini Tanzania,wakati
mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha kwenye mkutano wa Jukwaa la
wahariri jijini Dares Salaam jana,katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko na
Uhusiano Mwamvita Makamba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Bw.Rene Meza
akiongea na wajumbe wa Jukwaa la wahariri wa vyombo vya habari wakati
mkurugenzi huyo alipokwenda kujitambulisha ,kushoto Mwenyekiti wa
Jukwaa la wahariri Absalom Kibanda,na katikati ni Ofisa Mkuu wa Masoko
na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba
Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza kulia akisalimiana na mjumbe wa jukwaa la wahariri Masoud Sanani
Baadhi yawajumbe wa jukwaa la wahariri wa habari
wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza hayupo
pichani alipokuwa akiongea nao wakati wa kujitambulisha kwa jukwaa hilo.
Amigolous na Saleh Kupaza walonga
Wanamuziki Amigous na Saleh Kupaza kutoka bendi ya Dansi Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUDANI" wakiongelea kuhusu maandalizi ya ziara yao Nchini Uingereza Katika Kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania yatakayofanyika tarehe 26 Novemba 2011 katika ukumbi Club Club 2000 Banqueting Suite(Former Silver Spoon) Popin Building Southway. Wembley HA9 0HB kuanzia saa 9pm- 4am. Kiingilio ni £20.00 kwa single na couple £35.00 kabla ya saa sita Usiku
ASANTE KOTOKO YATUA DAR
TIMU ya soka ya Kumasi Asante kotoko ya Ghana inatarajiwa kuwasili
nchini Desemba 9 tayari kucheza mchezo mmoja wa kirafiki dhidi ya
kombaini ya timu za Yanga na Simba siku ya Desemba 11 kwenye uwanja wa
Taifa
Wednesday, November 23, 2011
Mega Promosheni inayoendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezidi kuchanja mbuga huku wananchi wakizidi kunufaika nayo kwa kushinda mamilioni ya shilingi pamoja na televisheni za kisasa aina ya Samsuing LCD. Mwishoni mwa wiki Geoffrey Msitu mkazi wa Arusha aliingia katika orodha ya washindi wa kitita cha Shilingi Milioni Kumi na Moja, fedha ambazo kimsingi zitamsaidia kubadili maisha yake. Bw. Msitu pamoja na mshindi wa televisheni Bw.Godlove Mbise ambae nae ni mkazi wa Arusha walikabidhiwa zawadi zao mwishoni mwa wiki mjini Arusha na Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Nguvu Kamando Vodacom Mega Promosheni bado inaendelea na wateja wa Vodacom nchi nzima wanayo nafasi ya kushiriki na kujishindia mamilioni ya fedha kuboresha maisha yao. Ili kushirikli mteja wa Vodacom anapaswa kutuma neno BURE kwenda namba 15015
Mega Promosheni inayoendeshwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezidi kuchanja mbuga huku wananchi wakizidi kunufaika nayo kwa kushinda mamilioni ya shilingi pamoja na televisheni za kisasa aina ya Samsuing LCD. Mwishoni mwa wiki Geoffrey Msitu mkazi wa Arusha aliingia katika orodha ya washindi wa kitita cha Shilingi Milioni Kumi na Moja, fedha ambazo kimsingi zitamsaidia kubadili maisha yake. Bw. Msitu pamoja na mshindi wa televisheni Bw.Godlove Mbise ambae nae ni mkazi wa Arusha walikabidhiwa zawadi zao mwishoni mwa wiki mjini Arusha na Mkurugenzi wa Vodacom Kanda ya Kaskazini Nguvu Kamando
Vodacom Mega Promosheni bado inaendelea na wateja wa Vodacom nchi nzima wanayo nafasi ya kushiriki na kujishindia mamilioni ya fedha kuboresha maisha yao.
Ili kushirikli mteja wa Vodacom anapaswa kutuma neno BURE kwenda namba 15015

Tuesday, November 22, 2011
Ngumi kupigwa Desemba 18,MZALENDO PUB
Na MWANDISHI WETU
WASANII mbali mbali hapa nchini wanatarajiwa kutoa burudani katika pambano la mchezo wa ngumi lisilo na ubingwa litakalowakutanisha bondia, Mada Maugo na mpinzani wake Suleimani Saidi 'Toll' Desemba 18 mwaka huu katika Ukumbi wa Mzalendo Pub Kijitonyama JIjini Dar es Salaam.
Akizungumza na kona hii ya burudani Raisi wa shirikisho la ngumi za kulipwa hapa nchini (PST) Emanuel Mlundwa alisema, maandalizi kwa ajili ya pambano hilo yamekamilika.
Aliwataja wasanii watakaotoa burudani siku hiyo kuwa ni Kundi la mapacha watatu Khalid Chokoraa (Halidi Chuma)pamoja na msanii wa mziki wa bongo fleva Mwana FA (Hamisi Mwinjuma).
Alisema licha ya kuwepo kwa burudani hizo vile vile atakuwepo kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila Super D kwa ajili ya kutoa mafunzo kupitia Dvd pamoja na kuzisambaza.
Aliwataka mashabiki wao wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani hiyo, licha ya kuwa mchezo huo haupewi kipaombele watahakikisha wanasonga mbele katika kuazimisha miaka 50 ya uhuru.
Aidha katika mapambano ya ngumi ya utangulizi mabondia Yohana Miyayusho na Shadrack Juma, Doto Kipacha atazidunda na Saidi Muhidini na kwa upande wa mchezo wa Kick Boxing ambao utatuwakilisha kimataifa Tanzania Muaythai Academy of Combat watawaletea mpambano kwa mara ya kwanza nchini kati ya bondia Emanuel Shija kutoka Tanzania na Munyeshyaka Vincent kutoka Rwanda Mpambano huo utakuwa wa kimataifa kutokana na ushiriki wake wa nchi hizo mbili nchini zitakuwa zikipeperusha bendera zao.

ASHA BARAKA NA AMOSI wazungumzia kuhusu 50th Independence Tour
Mkurugenzi wa African Stars ASHA BARAKA pamoja ofisa wa Ubalozi nchini Uingereza AMOSI MSANJILA wanazungumzia kuhusu maandalizi na matayarisho kwa ajili ya ziara ya Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUNDANI'' nchini Uingereza katika Kuazimisha miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Show hii itafanyika jumamosi Tarehe 26 November 2011 katika Ukumbi wa Club 2000(Silver Spoon)Savoir Banqueting Suite, Popin Building Southway, Wembley HA9 0HB.
Asante,
Urban Pulse Creative
BASATA: WASANII TUMIENI KISWAHILI SANIFU KATIKA KAZI ZENU
Mtendaji kutoka Usanifu wa Kiswahili na Ushairi Tanzania (UKUTA) Mchamba A. Mchamba (Kulia) akiongea na Wadau wa Sanaa juu ya Ushairi na Usanifu wa Lugha ya Kiswahili Katika Kazi za Sanaa kwenye Jukwaa la Sanaa wiki hii. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Habari, BASATA Godfrey Mngereza.
Mkurugenzi wa Utafiti, Mafunzo na Habari kutoka BASATA, Godfrey Mngereza akisisitiza jambo kwenye Jukwaa la Sanaa linalofanyika kila Jumatatu kwenye Ukumbi wa BASATA. Kulia ni Mchamba kutoka UKUTA.
Mkongwe wa Muziki wa Dansi na Mwanaharakati wa Sanaa, John Kitime akieleza juu ya haja ya kuwa na Sheria, Kanuni na Taratibu za kudhibiti utumizi wa lugha katika kazi za Sanaa.
Mdau akisoma moja ya Shairi aliloandika ambalo lilichaguliwa kuwa nyota na moja ya vyombo vya habari nchini huku akisikilizwa na sehemu ya Wadau wa Sanaa waliohudhuria Jukwaa la Sanaa wiki hii.
VODACOM MISS TANZANIA SALHA ISRAEL AKABIDHI FULANA 1000 KWA MKOA WA RUKWA NA KATAVI
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel
akifurahia jambo wakati akimkabidhi fulana Mwenyekiti wa kamati ya
Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa
tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole. Katikati ni Meneja Mawasiliano wa
Vodacom Salum Mwalim. Vodacom imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani
ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha
hilo.
Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni
wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza
Msongole(kulia) akiangalia na kuifurahia moja kati ya fulana elfu moja
zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne aliyokabidhiwa na
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel kushoto kwa ajili ya
kufanikisha tamasha la utamaduni wa mkoa wa Rukwa na mkoa tarajiwa wa
katavi litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho jijini
Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim.
Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni
wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole
kulia akiongea na waandishi wa habari kuhusiana na tamasha la utamaduni
wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa katavi litakalofanyika
ijumaa katika kijiji cha makumbusho mara baada ya Vodacom Miss Tanzania
2011 Salha Israel(katikati) kumkabidhi msaada wa fulana elfu moja zenye
thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne zilizotolewa na
Vodacom Tanzania,kushoto ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim.
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel akifurahia jambo
wakati akimkabidhi fulana Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa
Tamasha la utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa
Katavi John Kafuku, Katikati ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum
Mwalim. Vodacom imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya
shilingi milioni kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto
na Meneja Mawasiliano wa kampuni hiyo Salum Mwalim wakijadili jambo na
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel wakati wa makabidhiano ya
fulana elfu moja zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni kumi na nne
zilizotolewa na Vodacom Tanzania,kwa ajili ya kufanikisha tamasha la
utamaduni wa watu wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi
litakalofanyika ijumaa katika kijiji cha makumbusho jijini Dares salaam.
Vodacom Miss Tanzania 2011 Salha Israel akimkabidhi
fulana Mwenyekiti wa kamati ya Uratibu wa Tamasha la utamaduni wa watu
wa mkoa wa Rukwa na Mkoa tarajiwa wa Katavi Mwangaza Msongole. Katikati
ni Meneja Mawasiliano wa Vodacom Salum Mwalim,wengine kutoka kulia
Katibu wa kamati hiyo Godffrey Arubano na makamu Mwenyekiti wa kamati
hiyo John Kafuku Vodacom imekabidhi fulana elfu moja zenye thamani ya
zaidi ya shilingi milioni kumi na nne kusaidia hamasa ya tamasha hilo.
Sunday, November 20, 2011
Adam Matilta ng'aring'ari!
Bwana Harusi Adam akimvisha pete ya ndoa mkewe Matilda kwa furaha kabisa,huku akitamka maneno mazuri ya kiapo,pia vigele gele vya hapa na pale vikisikika.
\Maharusi wakiwa katika nyuso za furaha kabisa wakiwasalimia wageni waalikwa mbalimbali
Wwooooowwww....! kwa raha zaoo maharusi wakilishana keki kwa staili ya kipekee kabisa. Blog ya JIACHIE inawatakia kila lakheri na fanaka tele katika maisha yenu mapya ya ndoa,Mungu akawabariki na kuwapa amani na upendo daima,bila kusahau uvumilivu kwa kila jambo na kumtanguliza Mungu siku zote za maisha yenu.
Maharusi wakiserubuka na wapambe wao pamoja na wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye hafla ya mnuso huo uliofanyika kwenye moja ya ukumbi wa hoteli ya Land Mark,Ubungo jijini Dar.
Subscribe to:
Posts (Atom)