Jackson Hamza Kalala (wa kwanza kushoto), Nocha Sebe ( Urban Pulse), Asha baraka na Warren Reed wakiongea na waandishi wa habari (hawapo Pichani)
Salam
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Aset
wanakuletea shindano Kabambe la kutafuta vipaji mbalimbali katika tasnia
ya Muziki lijulikanalo kama "TWANGA ACADEMY" likijumuisha waimbaji,
Marepa, wapiga vyombo vya muziki, madensa n.k. Fomu na usajili rasmi
utaanza siku ya jumapili ya tarehe12/2/2012 pale katika viwanja vya
Leaders Club kuanzia saa tano asubuhi mpaka saa tisa mchana.
Form ni ths 2000 kwa mshiriki, pia unatakiwa kuja na picha moja(passport size) na uwe na miaka kuanzia 18-25.
Mwisho
wa kurudisha form ni Tarehe 13/02/2012 saa kumi jioni katika ofisa za
Aset Kinondoni nyuma ya Mango garden. Tafadhali zingatia muda
Kwa mealezo zaidi wasiliana na Nocha 0654212074 Vigezo na Masharti vitazingatiwa..Karibuni wote
Urban Pulse wakishirikiana na Aset
No comments:
Post a Comment