Sunday, November 11, 2012

Leo Nitakuwa Hewani Kwenye ' Mimi Na Tanzania'...

Channel Ten, saa moja na nusu usiku. Ni mahojiano niliyofanyiwa na Hoyce Temu, juma la jana. Itahusu zaidi masuala ya Uhuru wa Vyombo Vya Habari na nafasi ya Mitandao ya Kijamii kwenye kukuza demokrasia na changamoto zake. Usikose!

No comments: