Friday, December 13, 2013

Skylight Band yazidi kuvumbua vipaji vipya, tukutane pale kati jioni ya leo

DSC_0997
Kikosi kazi cha Skylight Band kikishambulia jukwaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku shabiki wao akipata Ukodak mbele ya jukwaa.
DSC_0871
Joniko Flower akichana mistari huku wenzake wakionyesha umahiri wao wa kusebeneka.
DSC_0910
Mary Lucos a.k.a Mama K akifanya yake jukwaani.
DSC_0918
Kipaji kipya cha Skylight anayejulikana kwa jina la Done kwa mara ya kwanza akipagawisha mashabiki wa Band hiyo sambamba na Mary Lucos juma lililopita, njoo leo ushuhudie kipaji chake.
DSC_0908
Divas wa Skylight Band waki-rock stage ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
DSC_0974
Sam Mapenzi akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band......ni mwendo wa SKELEWU.
DSC_0958
Pichani juu na chini mashabiki wa Skylight Band wakisebeneka kwa dancing floor.
DSC_0967
DSC_0887
Mchezaji mpira wa zamani Idi Baka akiwa na familia yake kwenye kiota cha Thai Village Masaki wakishuhudia Live burudani ya Skylight Band.
DSC_0990
Hapana chezea Skylight Band.
DSC_1008
Mheshimiwa Bundala kama kawaida yake lazima avue shati na kubaki na vesti.Picha akiwa na vijana wake wakiji enjoy na Skylight Band.
DSC_0864
Mashabiki wa Skylight Band wanaosheherekea siku zao za kuzaliwa kila Ijumaa hupata fursa ya kuimbiwa wimbo maalum wa Happy Birthday.
DSC_0865
Birthday Girl (mwenye gauni la pink) akipongezwa na ndugu, jamaa na marafiki.
DSC_0935
Wakili mpya na mshiriki mkubwa wa Skylight Band Luhano Lupogo akifungua Champagne yake huku Skylight Band ikimwimbia wimbo maalum wa kumpongeza mara baada ya kupewa usajili wa kuwa wakili na Jaji Mkuu wa Tanzania ambapo alikuwa ni miongoni mwa mawakili 500 walioapishwa juma lililopita kwenye viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar.
DSC_0940
Congratulations brother......Dr. Sebastian Ndege na Eddie Maulanga wakimpongeza mdau Wakili Luhano Lupogo na kupata Ukodak wa pamoja.
DSC_0942
Wakili Luhano Lupogo akiwa na my love wake.
DSC_0954
Sam Mapenzi wa Skylight Band, Msanii wa Bongo Flava Amini, Ommy Dimpoz pamoja na Lubea wakipata Ukodak.
DSC_0978
Fans wa Skylight Band wakipata Ukodak.
DSC_1015
Mdau mkubwa na mshirika wa Skylight Band Gerald Kilimo akionyesha complimentary zake alizozawadiwa na Band hiyo kama shukrani ya kuwa na mahudhurio mazuri na sapoti kubwa kwa Band hiyo.......Kulia ni Rappa Joniko Flower akishow love na mdau huyo.
DSC_1011
Mdau Gerald Kilimo akisebeneka.

No comments: