Wednesday, August 22, 2007

KUVAA KONDOMU!



Kama ishu ni kuvaa kondomu, mwanadada huyu ameamua kubuni mtindo wa mavazi kutumia kondomu kama anavyoonekana. Hii ilikuwa uswahilini jijini Dar, maeneo ya Vingunguti kwenye mashindano ya mamiss!

1 comment:

Anonymous said...

Huyu bint hana akili