Saturday, September 29, 2007

ZE COMEDY WAZUA BALAA!




Wasanii wa kundi la vichekesho, Ze Comedy,leo asubuhi kwenye viwanja vya mnazi Mmoja wamezua balaa na kusababisha kuvunjika kwa kushughuli ya burudani waliyokuwa wameikusudia kuitoa kwa mashabiki, kisa NYOMI ilikuwa si ya kawaida, watu kukanyagana, watoto kupotea, ni balaa. Jamaa waliitwa kama kivutio katika uzinduzi wa Mfuko wa serikali wa Uadilifu, Uwajibikaji na Uwazi.

No comments: