Kinara wa filamu za Bongo, Steven Kanumba (shoto), hivi sasa yupo katika shooting ya filamu nyingine mpya ambayo anatarajia kuwashirikisha wasanii wa Africa Mashariki, filamu hiyo itajulikana kwa jina la Hero Of The Church na itaongozwa na Director kutoka Nigeria, Feme Ogodegbe (pichani kulia). kati ni Princess Sheila Mvununje kutoka Uganda ambaye naye atakuwemo kwenye filamu hiyo. Baadhi ya mastaa wa falamu za Bongo watakaokuwemo ndani ya filamu hiyo ambayo imeanza kurekodiwa jijini Dar. Mnamcheki 'dogo' Ben (kushoto hapo) alivyojazia siku hizi? Moja ya scene zitakazopatikana kwenye Hero of the Church......yetu macho!
3 comments:
Anonymous
said...
jamani jamani, ndvyo bastola zinavyoshikwa hivyo kweli? na ndiyo kwa ukaribu huo kweli jamani? kwa kweli wabongo tumezidi, hatukui tu......
Mh badoooooooo kabithaaaa..kama STERINGI ndo kwanza ameantha kutambaa.. mmh dada hapo hajaonekana kama ni mkakamavu vya kutosha...ni kama amebadili uamuzi wake juu ya kumshoot Kanumba..au kama anabembeleza mambo flan..
mmh kweli siko convinced..esp na huyo mdada alivoshika hiyo bastola.
Kanumba & group nawakubali sana, Kanumba fanya makamuzi kama ya kwenye family tears kama sijakosea. msikate tamaa..KAZENI BUTI mtafika.BE MORE SERIOUS..
3 comments:
jamani jamani, ndvyo bastola zinavyoshikwa hivyo kweli? na ndiyo kwa ukaribu huo kweli jamani?
kwa kweli wabongo tumezidi, hatukui tu......
huyo dada anaonye kama anampaka lipstick huyo kanumba, uchuro mtupu,hamjui hata namna ya kuact jamaa!!!!!!!!!!

Post a Comment