Monday, September 21, 2009

TAHADHARI: USIENDESHE GARI SAMBAMBA NA CONTAINER

Tahadhari inatolewa kuwa siku zote unapoendesha gari barabarani, usiende sambamba na lori lililobeba 'container' ili kuepuka ajali mbaya kama hii iliyotokea nchini China. Ajali kama hii ya container kuangukia gari, imeshawahi kutokea nchini Tanzania pia zaidi ya mara moja na inapotokea watu hupoteza maisha! Inasikitisha sana!!

No comments: