Thursday, April 29, 2010

SURA NDANI YA UZINDUZI WA LOVELY GAMBLE!

...dully akila sahani moja na vimwana wa twanga ndani ya dance floor ya Bilicanas
...jide na sajenti...unajisikiaje unapopozi na Auntie Ezekiel?

..mamaa dotnata
producers: asaha baraka na Allen kalinga
...Lady Jide na da asha kwa pozi vile
...mamaa Mecky..steling wa Lovely Gamble akiongea na Star Tv
...DIOUF nae hakuacha kuburudisha...
..ankal michu akipokea cheti chake cha shukrani kwa debe kutoka kwa chairman wa ASET
...msanii wa filamu musa cloud
kimwana wa Twanga..... Sajenti
...kutoka kulia: ankal, pinto, abou na kaka mrisho
na kaka Abou liongo....vekesheni yake siyo mbaya bongo...
...peace!!!! the great K!

No comments: