Tuesday, June 21, 2011

Blogu mpya ya Dada Rachel

Tangazo la Blogu mpya ya Dada Rachel (My Perspective http://miandmyworld.blogspot.com)
Mwanadada Rachel Geras,Mtanzania mwenye makazi yake jijini London hapa Uingereza ameanzisha blogu yake inayofahamika kama MY PERSPECTIVE (yaani "mtazamo wake" kwa lugha ya taifa) na dhima yake kuu ni mahusiano (relationships),uwiano wa kijinsia (gender balance), maisha (life) na uongozi (leadership).

Blogu hiyo inapatikana katika anwani hii http://miandmyworld.blogspot.com/

No comments: