Thursday, August 11, 2011

DALADAL BEI JUU MBEYA


Hali ya usafiri Mkoani Mbeya ni mbaya, bei ya daladala imepanda kutoka sh 300 hadi 1000 kwa safari moja kutokana na uhaba wa mafuta ya petrol na dizeli.

Picha: Mbeya Yetu

No comments: