Thursday, November 24, 2011

Amigolous na Saleh Kupaza walonga


Wanamuziki Amigous na Saleh Kupaza kutoka bendi ya Dansi Twanga Pepeta "KISIMA CHA BURUDANI" wakiongelea kuhusu maandalizi ya ziara yao Nchini Uingereza Katika Kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania yatakayofanyika tarehe 26 Novemba 2011 katika ukumbi Club Club 2000 Banqueting Suite(Former Silver Spoon) Popin Building Southway. Wembley HA9 0HB kuanzia saa 9pm- 4am. Kiingilio ni £20.00 kwa single na couple £35.00 kabla ya saa sita Usiku

1 comment:

Jigambe said...

hii ni nzuri kutangaza mziki wetu wa bongo katika nchi mbalimbali, na pia itawapa hamasa kwa wasanii wengine nao kufamya kazi zao vizuri na kupata nafasi kama hizi.