Chalz
Baba, Maria na Baby Tall wakiwa kwenye ukumbi wa wa Golden Lounge ndani
ya Mji wa Milton Keynes kufanya Promo ya show yao ya Pili katika ukumbi
wa Golden Lounge Milton Keynes Ijumaa tarehe 2 desemba 2011
Asanteni,
Urban Pulse Creative wakishirikiana na Miss jestina Blog
No comments:
Post a Comment