Tuesday, September 25, 2007

NANI KWAMBIA WAZEE HAWANA USHABIKI NA SOKA LA BONGO?


Pamoja na kuanguka, bibi wa watu hakukubali kuacha bendera yake ya Taifa, kuonesha ni Mzalendo na pia ni shabiki nambari moja wa soka la bongo! Hapo ni uwanja wa Taifa wa zamani.

No comments: