Monday, October 1, 2007

BUNGENI DODOMA!

Waziri Mkuu,Edward Lowassa akizungumza na Mbunge wa Kwela, Chrisant Mzindakaya (kulia), Mbunge wa Viti Maalum, Florence Kyendesa (wapili kushoto) na Mtangazaji wa Radio Uhuru, Violet Mzindakaya , mabaye pia ni binti wa Mzindakaye (wapili kulia) kwenye ofsi za bunge mjini Dodoma jana. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments: